Home > News> KUHUSU KUHAMA KWA OFISI ZA MAMLAKA YA ELIMU

KUHUSU KUHAMA KWA OFISI ZA MAMLAKA YA ELIMU

January 5, 2018

MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA

 

TANGAZO KWA UMMA

KUHUSU KUHAMA KWA OFISI ZA MAMLAKA YA ELIMU

 

Mamlaka ya Elimu Tanzania inautangazia Umma pamoja na wadau wake wote kuwa ofisi zake zimehamia rasmi katika jengo lililopo Kiwanja Na. 711, Kitalu Na. 1, Mikocheni B, Dar es Salaam kuanzia tarehe 2 Januari, 2018. Hivyo shughuli na huduma za Mamlaka zinapatikana hapo kuanzia tarehe tajwa.

 

 

Imetolewa Na:

Mkurugenzi Mkuu,

Mamlaka Ya Elimu Tanzania,

Kiwanja Na. 711, Mikocheni B

S.L.P 34578

DAR ES SALAAM

Barua pepe:

info@tea.or.tz

Tovuti: www.tea.or.tz
Share this: