News

WATUMISHI TEA WAKUMBUSHWA KUFANYA KAZI KWA KUJITUMA.
September 25, 2023
CAMARA EDUCATION TANZANIA YATOA KOMPYUTA ZENYE THAMANI YA SH. MILIONI 37 KUPITIA TEA
August 23, 2023
TEA KUTUMIA BILIONI 8 MIRADI YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/24
August 14, 2023
WANAFUNZI WAHIMIZWA KUPENDA MASOMO YA SAYANSI
August 14, 2023
DKT. RWEZAMULA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TEA.
May 31, 2023
MFUKO WA ELIMU WA TAIFA WATUMIA MILIONI 750 UJENZI WA SHULE YA MTAALA WA KIINGEREZA JIJINI DODOMA.
April 21, 2023
Matokeo ya Sensa ya watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022 nchini Tanzania yalibainisha kuwa, asilimia 34.5 ya watanzania wote ni vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa. Serikali imeendelea na jitihada mbalimbali za kuhakikisha vijana wanahusishwa kikamilifu katika miradi na programu za maendeleo kupitia mafunzo ya ujuzi na Ufundi stadi ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana katika ngazi zote.
March 10, 2023
Vijana kutoka Kaya maskini na wanaoishi katika mazingira magumu hapa nchini wameshauriwa kuchangamkia fursa za Mafunzo ya Kukuza na Kuendeleza Ujuzi yanayotelewa na Serikali kupitia vituo mbalimbali vya Mafunzo ya Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi.
January 30, 2023
Mfuko wa Kuendeleza Ujuzi (SDF) kupitia Mpango wa Ufadhili kwa Vijana Kutoka Kaya Maskini na Wanaoishi Katika Mazingira Magumu (Bursary Scheme) umefanikiwa kunufaisha takribani vijana 600 kutoka katika visiwa vya Unguja na Pemba Zanzibar.
January 20, 2023
MFUKO WA KUENDELEZA UJUZI WAFIKIA KAYA MASKINI 600 - ZANZIBAR
December 21, 2022

Pages